➿➿➿➿➿➿➿➿➿➿
*🍇Njia asili za kuondoa weusi kwapani na mapajani🍇*
🍇Msuguano kati ya sehemu mbili kwa muda mrefu, unene kupita kiasi, matumizi ya deodorant, spray, matumizi ya dawa za kunyolea, matumizi ya vipodozi vikali na ugonjwa wa kisukari ni baadhi ya visababishi kwa maeneo kadhaa ya mwili kupata weusi hasa katika mapaja na kwapa.
🍇hii ni kwa wanaume na wanawake kwasababu matumizi ya vitu hivyo huchangia seli kufa kwa kiasi kikubwa na kutengeneza weusi.
🍇Ifahamike kwamba weusi mapajani au makwapani sio ugonjwa bali ni mabadiliko tu ya ngozi ambayo huwapata wengi na kuwafanya wasiwe na raha pindi wawapo na waume zao
🍇Zifuatazo ni baadhi ya njia za asili ambazo mhanga wa tatizo hili anaweza kuzitumia kuondokana nalo ambalo limekuwa changamoto kwa watu wengi
🍇2.Njia nyingine ni matumizi ya mafuta ya nazi, mafuta haya ni tib anzuri sana kutokana na uwepo wa vitamini E yansaidia kusafisha na Kung’arisha ngozi.
🍇Unachotakiwa kufanya ni kupaa mafuta hayo sehemu ya mwili iliyoathirikana weusi kwa muda wa dakika 10 hadi 20 kisha osha eneo hili kwa maji ya vuguvugu, fanya hivyo kila siku mpaka utapoona mabadiliko.
🍇3.Matumizi ya Tango pia ni muhimu kwa kusaidia kuondoa weusi sehemu za mapajani na kwapani.
🍇Unachotakiwa kufanya, kata vipande kadhaa vya tango jipake kwapani na mapajani au lisage kisha paka ukishapaka kaa kwa muda wa dakika 10 hadi 20.
🍇4.Majani ya Aloevera, chukua utomvu wa jani la Aloevera, Paka kwenye sehemu yenye weusi na kisha acha ule utomvu kwa muda takribani nusu nasaa kisha osha na maji ya uvugu vugu, Fanya hivi mara moja hadi mbili kwa siku ili kuweza kupata matokeo haraka.
🍇5.Viazi ulaya/mbatata
menya viazi kata vipande jipake makwapani yale maji yake yakiingia kwenye ngozi yanatoa rangi nyeusi au unaweza kuponda kikiwa kibichi na kujipaka kwa dk 10-20 utanawa utafanya hivyo mara 2 kwa siku mpaka weusi utakapoisha
🍇6.Sukari -chukua brown sugar changanya na olive oil paka badaa ya mda osha
🍇7.Baking soda-inasaidia kutoa dead cells kwa urahisi .
changanya baking soda na maji iwe nzito nzito paka kwapani acha kwa dk 10 osha na jikaushe fanya hivyo mar 2-3 kwa wiki ,endelea na zoezi mpaka utakaopona umeridhika na mabadiliko
🍇Zoezi hili linaweza chukua mda mchache ukaona mabadiliko makubwa au ikachukua mda mrefu kuona mabadiliko inategemea kila mtu na ngozi yake .
🍇Zingatia kutumia dodoki la kuogea usugulie sehemu hizo husika na hakikisha hukai na nywele ndefu.
🍇Tumia hand shaver isiwe kiwembe, na iwapo umetumia njia hizi kwa miezi 1-2 na hakuna mabadiliko mwone daktari.
🍇Kuna baadhi ya creams au deudorants nazo zinasaidia kutoa weusi.
*Tutaishia hapa, ni matumaini yangu mmenufaika*
➿➿➿➿➿➿➿➿➿➿
No comments:
Post a Comment