Jinsi ya kutengeneza Dawa ya kuua kunguni au mende kwa haraka
Malighafi
Mafuta ya taa
Sabun ya Unga
Chumvi
Rangi na manukato
Utengenezaji
Andaa ndoo ya Lita 20 weka mafuta Lita 3 changanya na sabuni kilo moja na chumvi kilo moja na rangi kijiko 1cha chai koroga mpaka kutokeza bovu na hakikisha chumvi emeyeyuka kisha acha kwa dakika 5 tayar kwa matumizi weka katika vifungashio
No comments:
Post a Comment