____________________
MJASIRIA MALI NA HARAKATI ZAKE ZA UJASIRIA MALI..
____________________
____________________
(1) MJASIRIA MALI NI NANI..?
==>Mjasiria Mali ni mtu anae tazama fursa kwa jicho la mbali yani mtu anae fikiria kutatua changa moto kabla yakuwa tatizo na sikufikiria kuhusu changa moto.. Mjasiria Mali ni mtu anae ona fursa nakuanza kuifanyia kazi kabla fursa hiyo haijawa kikwazo kwa watu kikwazo kwa maana kwamba tuna amini fursa nyingi hutokana na changa moto zinazo wakabili watu katika eneo flani.. Kuwa Mjasiria Mali hau hitaji usome sana Bali una hitaji uwe ni mtu mwenye maarifa yatakayo kusaidia wewe kukuwa vema katika sekta hii ya ujasiria Mali ..Mjasiria Mali lazima uwe ni mtu wakujali thamani kabla ya fedha tanguliza thamani na pesa ita kufwata maana pesa ni matokeo ya thamani unayo iweka kwenye kila jambo ....tazama ujasiria Mali KWA jicho la mbali chukuwa maamuzi kwa wakati na amuwa maamuzi sahihi..
(2)CHANGA MOTO
==>Changa moto katika ujasiria Mali zipo nyingi sana tena nyingine za kukatisha tamaa lakini wewe kama Mjasiria Mali makini na unae juwa nini una Fanya na nn una taka lazima ukabiliane nazo kiuthubutu bila kuvunjika moyo maana changa moto ni sehemu ya kipimo cha Mjasiria Mali makini na mwenye nia ya kuwa Mjasiria Mali Mkubwa lazima uwe mtu mwenye hekima na busara pale unapo kabiliana na changa moto unazo kumbana nazo usi litazame tatizo kama kikwazo cha kudumu litazame tatizo kama sehemu ya kujifunza.... Wapo watakao kuja kukwambia ww huwezi ww hufai lakini usi Kate tamaa ... Jiamini na amini katika unacho kifanya iambie nafsi yako kuwa wewe una weza kabla hajaja mtu yeyote kukwambia una weza... Changa moto nyingine zifanye kama fursa zitumie hizo kuvuka milima na mabonde zitumie kama daraja ... Waoneshe wengine kuwa wewe ni zaidi ya maumivu ya donda ndugu una weza vumilia kila maumivu zidisha vitendo kuliko maneno... Neno moja liamba Tane na matendo kumi ...
(3) MTAJI WA MJASIRIA MALI
==>Mtaji wa Mjasiria Mali sio pesa mtaji wa Mjasiria Mali ni ubunifu na viwango vya ubunifu wake .. Maana una weza kuwa na pesa lakini isi kusaidie chochote pesa ni matokeo ya ubunifu na thamani ya ubunifu wa Mjasiria Mali kuwa na pesa na ujui chakufanya ni sawa na bure ongeza jitihada ongeza maarifa kukuza kile ulicho nacho kwanza jenga uaminifu kwawatu maana watu ndio watakao kuvusha wewe watu ndio watakao kupromot wewe watu Hao Hao ndio watakao kukwamisha wewe... Pia lazima uwe na skills ya kutoa kupokea na kuzalisha pesa lasivyo uta jikuta una tafuta vitu ambavyo ni ndoto kuvipata...
(4)MASOKO
==> Wewe kama Mjasiria Mali makini na unae jali kile unacho kifanya lazima jali sana hii sehemu ya masoko ambapo masoko huambatana na mauzo ... Ukipata soko lazima uuze uwezi kuuza bila kupata soko.. Na masoko sio vibanda from nk: masoko ni sisi masoko ni watu watu ndio masoko yako watu ndio walengwa wa biashara au bidhaa zako bila watu WEWE na ujasiria Mali wako sikitu bila watu WEWE na biashara yako sikitu ... Jifunze kuongea na watu jifunze kutenge neza watu. Jifunze kujali watu ... Watu wengi hudhani biashara zao zina endeshwa kwa mitaji ya fedha walizo nazo wana sahau kuwa mitaji ya fedha bila mitaji ya watu sikitu jali watu... Fikiria watu utakao wauzia au kuwa fanyia Huduma yako kabla ya kufikiria kuhusu pesa...
(6)MREJESHO KWA MTEJA
==> Hi ni sehemu iliyo sahaulika sana katika kipingele cha mauzo usi sahau ku chukuwa na kipengele hichi cha MREJESHO hichi ni kipengele muhimu sana katika kukuza soko na kukuza ujasiria Mali wako.... Watu wengi huwa wana uza bidhaa au kutoa Huduma kama wana enda haja huwa hawa pendi kufwatilia wala hawapendi kuweka njia ya kupokea maoni kutoka kwa Wateja wao hii ina wafanya wajasiria Mali wengi kukwama kwa kukosa masoko kwasababu tu hawajui wanapo kosea hawajui Mteja wake napokea vipi Huduma yake hawa jui kama ame ipenda ama lah hii ina wafanya wengi wao kupoteza Wateja na kujikuta kila siku ana tumia nguvu kuzalisha Wateja wapya na huku wale wa. Awali kuto rudi tena ... Hii sawa na kuminya Uhuru wa Mteja wako bidhaa yako ikisha enda mikononi mwamteja nivema kuifwatili kama kweli imempendeza au ana maoni gani ndio pale tuna jifanya wakongwe kumbe wakongwe wa MUDA na sihuduma bora jali sana watu unao wahudumia jifunze kupokea feedback kwa Wateja wako .. Hii itakufanya ata kupata maoni ya uboreshaji au pongezi au ushauri wowote kuhusu Huduma yako badilika sasa kila mtu ana takiwa kuwa huru katika eneo lake Mteja ana takiwa kuwa huru katika maoni maana katoa hela halali punguzeni Ku chakachuwa hasa pale munapo sifiwa sana huwa muna lewa sifa na kusahau Huduma bora....
...................................
No comments:
Post a Comment