Friday, 21 September 2018

JINSI YA KUTENGENEZA DAWA YA KUSIMAMISHA MAZIWA YALIO LALA

Dawa ya kusimamisha maziwa yalio lala

Malighafi
1*yai la kuku Wa kienyeji
2* maziwa mtindi
3* vitamin e

Utengenezaji

Andaa bakul safi linalo endana na wingi Wa mahitaji yako

Anza kuweka vitamin e kisha weka na maziwa mtindi changanya kwa kukoroga kisha weka mayai 2 bila kiini cha yai koroga mpaka kupata mchanganyiko laini

  Matumizi

Wakati Wa kupaka hakikisha unapaka kutoka chini kwenda juu

Paka kila siku kwa wiki 1 hadi 2

No comments:

Post a Comment

COMMENTS/MAONI AU USHAURI

MATANGAZO