M'ba hutokana na fangasi au ngozi kavu katika ngozi ya kichwa kupelekea muasho
Unaweza kutumia dawa za kuondoa m'ba kama sabuni au shampoo lakin huleta madhara mrngne kwani hutiwa kemikali
Dawa ya asili
Maligahafi
1*Mualovera
2*limao
Utengenezaji
Hatua ya kuanza
Tafuta chombo mualovera Wa kutosha unaoweza kutoa maji maji yasiopungua nusu lita na anza kusaga kwa blenda au kinu kupata maji yake
Wakati Wa kusaga usitie kitu cha aina yeyote
Baada ya kupata maji yake weka katika bakuli safi na salama kisha kamua limao na kupata maji robo Lita
Wakati unakamua limao hakikisha uchanganyi na chochote katika kupata maji ya limao
Baada ya kupata maji ya mualovera na limao changanya kwa pamoja na koroga kwa dakika 3 kisha acha kwa dakika 5
Baada ya dakika 5 anza kutumia kwa kupaka kichwani
Kumbuka usipo pona upelekwe India Nina uhakika hii kitu hatari
Angalizo. Chombo unachotumia kuhifadhi mualovera osha Mara nyingi kuondoa ladha yake.
No comments:
Post a Comment