Utengenezaji wa sabuni ya kuondoa harufu mbaya na muasho sehemu za Siri
Maligahafi
1*kaustiki soda
2*maji
3*griselini
4*vinegar cider
5*mafuta ya mise
6*manukato
Hatua ya kuanza
Weka kaustiki soda nusu Lita maji Lita 4 kisha weka vinegar cider nusu Lita hadi Lita 1 upendacho hapo
Kisha anza kukoroga kwenye chombo chochote cha plastiki tu koroga kwa muda wa dakika 5 na kisha acha kwa siku 3 hayo maji
Hatua inayofuata
Baada ya siku 3 chukua maji yako Yale na anza kukoroga tena na uweke griselini robo Lita ukiwa unakoroga kama dakika ,5 tena kisha acha yatulie
Baada ya kuacha maji yako sasa chemsha mafuta ya mise Lita 10 yawe katika hali ya uvuguvugu
Baada ya kupasha moto weka manukato katika mafuta na koroga kidogo kupata mchanganyiko sawa
Baada ya hapo chukua mafuta yote na uweke katika Yale maji na anza kukoroga kwa haraka na kwa muda mfupi
Baada ya hapo weka katika maumbo na subiri kuganda kwa muda wa Massa 6 hadi 8
Nb sabuni inaganda sana ikiwa sehemu yenye upepo au baridi
No comments:
Post a Comment