FAIDA ZA CHAKULA CHA HUDROPONIC FODDER KWA MIFUGO
: 1.Ni nafuu sana kulinganisha na garama za CHAKULA cha madukani au viwandani
2.kina virutubisho na vitamini mara 3 zaidi ya CHAKULA cha kawaida cha Mifugo
3.Hupunguza magonjwa ya mfumo wa hewa kama vile mafua kwa mfugaji na Mifugo kwani hakina vumbi kabisa.
4.kina protein na Energy/nishati nyingi zaidi mara 3 ya inayopatikana kwenye vyakula vya kawaida vya Mifugo kama kuku.
5.mifugo hukua haraka sana kutokana na wingi wa protein ambayo hufanya Kazi ya kujenga mwili na kukua
6.CHAKULA hiki Ni laini sana na kitam kwa kuku na Mifugo yote (palatable)
6.mmeng'enyo wa chakula hiki huongezeka kutoka 30% kwa CHAKULA cha kawaida hadi 95% kwa CHAKULA cha hydroponiki hivyo chakula kingi kutumiwa na mwili wa mifugo na kupunguza kinyesi na usumbufu wa usafisaji banda
7.kinyesi hupungua na kuwa kati ya 5%-10% tu kwani CHAKULA kingi humeng'enywa na kutumiwa na mwili wa Mifugo
8.mazao kama mayai au maziwa huongezeka kwa 40% kulinganisha na chakula cha kawaida.
9.kiini cha yai la kuku anayelishwa hydroponic fodder huwa cha njano sana hata kama Ni kuku wa kisasa
10.Hupunguza garama za ufugaji kwenye manunuzi ya chakula kwa 50-75% hivyo kuongeza faida.
Safi Sanaaaa Mkuu
ReplyDelete