*JINSI YA KUTUNZA NYWELE ZENYE DAWA*
💐Muhimu kuzingatia dawa ya nywele kutokana na nywele zako
💐Kama una nywele nywepesi hakikisha unatafta dawa kwaajili ya nywele nyepesi bila ya hivyo unajibebea dawa ambayo sio sahihi kwa nywele zako na matokeo yake zitakatika Na kunyonyoka kupita kiasi
💐Hakikisha unapangilia muda wa kuweka nywele dawa nywele zako
💐Hakikisha unaweka dawa kila baada ya miezi minne kuweka dawa chini ya miezi 4 hupelekea kukatika nywele zako
💐Hakikisha unaosha nywele zako Mara ili kuondoa mrundikano wa uchafu kwenye maoteo ya nywele zako
💐Hakikisha unaosha nywele zako kila wiki mara 1
💐Tumia mafuta ambayo yataenda sambamba na nywele zako
💐Hakikisha unatumia Mafuta yenye uwezo wa kutunza unywevu na kuzuia nywele kukatika
💐Si vibaya ukichanganya baadhi ya mafuta ambayo yanasifika kama castor, Jojoba, Argan Na Shea butter oil
💐Epuka matumizi ya moto kwenye nywele kama kutumia pasi ya nywele kwaajili kuzinyoosha nywele kwani hupelekea nywele kutokuwa na nguvu Na hatimae kukatika
💐Hakikisha unapolala unajifunika Na kofia (satin) hii itasaidia ukuaji mzuri Wa nywele zako...
💐Hakikisha kila wiki unaposha nywele unafanya Na conditioner Na mwezi Hakikisha unazifanyia deep treatment ili kuzipa protein
No comments:
Post a Comment