SABUNI YA MAWESE NA ASALI
MAHITAJI
ASALI PURE VIJIKO 10,
MAFUTA YA MAWESE MILS 200
OLIVE OIL VIJIKO 2
BASE SOAP GM 700
RANGI( UKIPENDA ) NJANO ROBO KIJIKO.
HATUA YA 01:
YEYUSHA BASE SOAP NDANI YA SUFURIA LA MAJI YA MVUKE( DOUBLES BOILER)
IKISHAYEYUKA ONGEZA MAFUTA YA MAWESE , ONGEZA OLIVE OIL, RANGI, KISHA KOROGA KUPATA UJI AMBAO UTAMIMINA KTK MOLD ULIYOANDAA.
SABUNI HII IPO TAYARI KWA MATUMIZI MARA TUU IKISHAPOA NA KUGANDA.
No comments:
Post a Comment