Utengenezaji Wa sabuni ya maji,_ shampoo, sabuni ya kunawia mikono sabuni ya kusafishia vioo, dawa ya kusafishia choo yote ndio hii
Tofauti unaweza kumbadirisha rangi tu na kumuwekea Vifungashio tofauti
Mahitaji
1* siles (ungaroli)
2*chumvi
3* rangi ya sabuni ya maji
4*manukato
Utengenezaji
Andaa ndoo Lita 20 kisha weka maji Lita 10 kisha weka siles (unga roli) Lita 2
Kisha koroga Kwa dakika 15 ila kila baada ya dakika 5 weka chumvi mikono (kiganja) kimoja kwahy hadi dakk 15 utakua umeweka chumvi viganja 3
Baada ya kukoroga Kwa dakika 15 sasa weka manukato kiasi upendacho pamoja na rangi kiasi upendacho
Koroga tena kwa dakika 5
Hapo utakua umekorga Mara dakika 20 hadi kumalizika kwa sabuni
Na sabuni yako itakua tayar
Hakuna alie jaribu hii sabuni na sizani kama aliwai mtu kutengeneza ni nzito sana na malighafi chache
Siles au Unga Roli unapatikana wapi???
ReplyDeleteKwenye maelekezo yako mazuri naomba pia utupe tip pa kupatikana vifaa au malighafi husika.
Aksante sana nimejifunza mengi kwenye hii blogu yako