*CHAMOMILE(CAMOMILE*
Huu ni mmea tiba unaotoa maua,kuna ambao unatoa maua yenye njano na nyeupe na kuna unaotoa maua ya blue na njano
Mafuta ya huu mmea chamomile essential oil ni karibia sh milion 3 kwa lita,
pia maua yaliyokaushwa ya chamomile kwa kg moja ni sh karibia sh 50,000/=.
Huu ni moja ya mimea yenye thamani ya juu sana duniani kutokana na faida ya maua ya huu mmea kwenye afya na muonekano wa binadamu
FAIDA ZA MAUA YA CHAMOMILE(CANONILE)
NA MAUA UTUMIKA ZAIDI KUTENGENEZA CHAI,.KAMA CHAI
A).FAIDA ZA KIAFYA
-Inatibu maumivu ya misuli
-Inatibu maumivu ya hendi
-Inatibu maumivu ya vidonda vya tumbo
-Inapandisha kinga ya mwili
-Inabalance kiwango cha sukari mwilini
-Inatibu bawasiri(uvimbe kwenye njia ya haja kubwa)
-Inatibu allegies na vipele
-Inatibu maumivu ya kichwa
-inasaidia kufanya ulale na upate usingizi vizuri
B).KWENYE NGOZI
chai ya maua ya chamomile
-Inasafisha ngozi
-Inasaidia matibabu ya matatizo yote ya ngozi
-Inafanya ngozi iwe nyeupe(natural skin bleacher)
-inatibu muwasho wa ngozi
-inatibu chunusi
-Inafanya ngozi isizeeka mapema
-Ni scrub ya asili
-Inafanya ngozi kuwa nyevuu
C) KWENYE NYWELE
- Inaimarisha rangi ya nywele
-Inazuia mba
-Inakuza nywele
JINSI YA KUPANDA HUU MMEA
(AGORA TUNAPROGRAM YA
(PANDA MIMEA TIBA USIPANDE MAUA AMBAYO HAYANA TIJA)
Mmea wa chamomile unapandwa kwenye hali ya hewa yoyote
ila kwenye barufu haistawi vizuri,ila kwa hali ya hewa kama ya nchi ya Tanzania huu mmea unastawi cha msingi kuwe na rutuba nzuri
Panda kwenye chungu cha maua,au dishi au sehemu yoyote iwe kama urembo wa nyumba pia tiba asilia
Ukitaka kulima kwa biashara wasiliana na agora team kwa elimu
vitu vichache ni kwamba
=Ekari moja inachukua miche 85,000/=.
Inapadwa kama inavyopanda ni cm 25 kati ya mmea na mmea na cm 30 kati ya mstari
=Na uvunaga unafanyika ni msimu kama mahindi
=ukitaka kulima herbs lazima uwe na shamba lako
=usipo tumia chemical unafanya mmea uwe vizuri zaidi ki afya
=Mbegu ya agora ya chamomile kwa wastani kwa akari unavuna
majani makavu ni kg 364.
Mche wa agora wa chamomile herbs unauzwa sh 1000/=
No comments:
Post a Comment