Utengenezaji wa mafuta ya alovera
Mahitaji
1*alovera
2*mafuta ya Nazi au mzaituni
Utengenezaji
Andaa alovera na ukwangue na uweke kwenye blenda na usage usiweke maji
Baada ya kusaga ipua juice ya alovera kisha weka katika sefuria na uchanganye na mafuta nusu Lita endapo ukipata juice ya alovera robo Lita
Weka jikoni na acha ichemke kwa muda ukiwa unakora
Koroga hadi karibu kuauka utaona imebadirka rangi na kua ya kahawia
Hapo ipua na weka katika chombo kingne ukiwa unachuja
Baada ya kuchuja hapo mafuta yatakua tayar
No comments:
Post a Comment