Ukiwa na zile fangasi za kwenye kucha ambazo wengi zinaletwa na kufua Chukua jani la hilo uwa huwa linautovu weka pembeni ya kucha ilioharibika acha usishike maji kwa muda huo iliingie kwenye ile sehemu iliyoharibika * Hapo ikiwa inaingia utasikia maumivu kiukweli nimakali kwani inakusanya usaha sasa kidole Kitavimba kidogo kamuaa usaha wote utatoka na damu ukikamua maumivu yataisha maana yanaletwa na usaha kitabaki kidonda unaweza tumia dawa yyte ya hosp ilikipone basi kucha lililooza na fangas litakuwa linapanda juu kutoka na kucha zuri litafuata na hautapata tena fangas kwenye kucha hilo
Jani gani hilo? Linaitwaje?
ReplyDeleteJani gani hilo
ReplyDelete