JINSI YA KUPUNGUZA TUMBO NA NYAMA UZEMBE KWA SIKU 3 TU .
💫hii pia ni kiboko ya vitambi na nyama uzembe mrembo .
MAHITAJI
a) unga wa manjano 5 tsp
b) asali 5 tsp
JINSI YA KUTUMIA .
💫chukua manjano changanya na asali koroga vizuri hadi kila kitu kimechanganyikana vizuri .
💫tumia kijiko 1 tu kunywa kwenye maji ya moto asbh kabla ya kula chochote ,mchana na usiku .
💫tumia siku 3 kwa USAHIHI kabisa utaona matokeo mazuri .
💫💫KUMBUKA
JUHUDI ZAKO MAFANIKIO YAKO .
💫💫UNAWEZA TENGENEZA MCHANGANYIKO MWINGI UKATUNZA KWENYE FRIJI UNADUMU WIKI 2
No comments:
Post a Comment