Utengenezaji Wa sabuni ya kukufanya uwe mweupe kutumia kemikali 1
Mahitaji
1*siles (ungaroli)
2*asali
3*limao
4*chumvi
5*rangi
6*manukato
Utengenezaji
Andaa ndoo Lita 20 kisha weka maji Lita 10
Anza kukoroga hayo maji kuelekea upande 1 kwa dakika moja
Baada ya dakika moja mimina silesi(unga roli) Lita moja anza kukoroga kwa dakika 3
Baada ya dakika 3 weka chumvi ya mawe mikono (viganja) viwili endelea kukoroga kwa kuelekea upande mmoja kwa dakika 15
Baada ya kukoroga kwa dakika 15 sasa weka asali nusu Lita koroga kwa dakika 1
Baada ya dakika moja weka maji ya limao (juice ya kikao) nusu Lita koroga kwa dakika 1
Baada ya dakika moja weka rangi pamoja na manukato kiasi upendacho kisha endelea kukoroga kwa dakika 5
Baada ya dakika 5 sabuni tayar kwa matumizi
Matumizi
Kuogea au kunawia uso au sehemu ya ngozi yenye madoa
No comments:
Post a Comment