Chango
Huu ni ugonjwa uhusiano kwa wanawake upande Wa uzazi (chango ya uzazi)
Zipo aina nyingi za chango na mnaweza kua watu wa tano wa ugonjwa huu ila kula mmoja akawa na chango ya kipekee yake
Chango kikubwa hutokana na mwanamke kutoweza kushika mimba yani ovary kushindwa kufanya kazi pia mwanamke huyu anaweza asiwe na siku za hatari na kama atakua nazo basi zitakuja bila mpangilio aina hii tunasema ( ovelution disorder)
Matokeo yake nini
aina hii kuna hali mbili mayai huzalishwa lakin hayakomai au yanakomaa lakin hayasafirishwi kwenda kwenye mirija ya uzazi
Chanzo chake hua ni kisayansi zaidi nikieleza nitajichosha pia hatutaelewana tuangalie dalili 👇🏽
Kuna dalili nyingi ila kwa uchache ni hizi
1*kua na mzunguko wa hedhi kwa muda mrefu
2*kua na siku zisizo na mpangilio
3*kukosa hedhi kabisa
4*kuumwa tumbo chini ya kitovu wakati wa hedhi au tendo la ndoa
5*kutoshika ujauzito kwa kipindi kirefu
Tiba mbadara 👇🏽
Hakuna tiba ya moja kwa moja hospital isipokua huangalia chanzo na kurekebisha
Mfano .
Kama kuna uvimbe hutibu uvimbe
Kama tatzo la kihomoni hurekebisha homoni na hua hakuna tiba ya moja kwa moja wakati mungu ametupa vitu vya asili tena dawa kubwa na nzur
Utengenezaji wa dawa
Mahitaji
1*papai
2*mbegu za mlonge
3*tangawizi
Utengenezaji
Tumia tangawizi ya unga vijiko viwili vya chakula weka katika blenda
Kisha chukua na papai moja likate kipande 1
Kisha weka unga wa mbegu za mlonge zilizokomaa na kavu kikombe kidogo cha chai
Kisha Saga kwa kuchanganya na maji kidogo
Baada ya hapo acha kwenye friji ipate ubaridi kwa nusu Saa yani dakika 30 kama hauna friji acha kwenye sehem ya usalama yenye ubarido
Uwe unakunywa mchanganyiko huo kwa muda wa mzunguko wako wote wa hedhi utakua umepona kwa uwezo wa mungu
No comments:
Post a Comment