Friday, 5 October 2018

JINSI YA KUPIKA MIKATE YA KUMIMINA

MIKATE YA KUMIMINA🍞

MAHITAJI

1 Kikombe kimoja cha Mchele

2 kikombe kimoja cha Nazi ya unga

3 kikombe cha sukari kupunguwa kidogo

4 kikombe cha maji au maziwa ya vugu vugu

5 hamira kijiko cha chai

6 iliki kiasi upendavyo

7 ute wa yai moja

NAMNA YAKU TAYARISHA NA KUPIKA⬇

1 OSHA naku  kuroweka mchele kg 1 nanusu siku moja ndani ya maji

2 saga ndani ya blender mche, tui maji, au maziwa, iliki na hamira  mpaka mchanga nyiko uwe laini

3 mimina ndani ya bakuli na ufunike weka weka mahali penye joto ili mchanga nyiko uumuke (ufure)

4 mchanga nyiko ukifura washa oven moto wa 350C° mimina sukari pamoja na ule ute wa yai ndani ya mchanga nyiko na uchanganye vizuri ukiona mchanga nyiko mzigo sana ongeza maziwa kidogo

5 chukuwa sufuria umimine mafuta kidogo washa jiko na uweke na uweke sufuria ipate moto kiasi mimina ule ute ndani ya sufuria uache kwa Dk 5 hivi kiasi mkate uanze kushikana

6 funika sufuria na uvumbike  (bake) ndani ya oven kama Dk 35_40 hivi au paka mkate uive na uwerangj ya hudhurungi juu yake

7 epuwa na uache upowe kabisa kabla ya kukata nibora kuula siku ya pili yake

No comments:

Post a Comment

COMMENTS/MAONI AU USHAURI

MATANGAZO