Jins yakutengeneza lotion ya kungatisha
Mahitaji
1 Cocoa butter/shear buter
2 yai la kuku wa kienyeji
3 organ coconut oil
4 cocodem lotion
5 essential oil
Maji ya bettason
6 skin peffector sereum
7 Maji ya cocodem
8 vitamin e
9 sabuni ya Montclair
Maandalizi
Cocoa butter robo na yai la kienyeji toa organ coconut oil vijiko 5 cocoderm lotion vijiko kumi tia maji ya bettasorn chupa moja l skin perffector sereum chupa mbili maji ya coco derm chupa 3 vitamini e vidonge 5 yeyusha maziwa ya mgando sikumoja kabda ya kuandaa mchanganyiko wako na sabuni ya morntclera baada ya kuandaa mchanganyiko wako kisha changanya kwenye iyo lotion uliyo tengeneza kisha koroga adi viwe kitu kimoja ifadhi kwenye chombo safi mahari ambapo amna joto kari tayari kwa matumizi nivema ukaanza kutumia mwenyewe kabda ya kuanza kufanya biashara usisahau ant bacteria ambayo itafanya lotion yako isiharibike wala kuwa nyeusi.
Friday, 12 October 2018
JINSI YA KUTENGENEZA LOTION YA KUNG'ALISHA NGOZI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Asante mamy sasa naomba kujua je nilitaka lotion isichubue je?
ReplyDeleteAnt bacteria zinapatikana wapi
ReplyDeleteAyo maziwa ya mgando ni mtindi au condensed milk
ReplyDeleteJamn m naomba mawasiliano
ReplyDelete