TANGAWIZI NA MAAJABU YAKE:
1. Huondoa sumu mwilini haraka sana.
2. Huua bakteria na vimelea mbalimbali vya magonjwa ndani ya mwili hata nje ya mwili.
3. Huondoa uvimbe mwilini.
4. Huondoa maumivu ya koo.
5. Huua virusi wa homa.
6. Huondoa maumivu mbalimbali mwilini.
7. Hutibu saratani ya tezi dume. Tangawizi huua kimeng’enya ambacho seli za saratani ya tezi dume hukitegemea kama chakula, kiitwacho ‘5-LO enzymes’ na seli hizo za kansa hufa ndani ya masaa mawili au manne bila hicho kimeng’enya.
8. Tangawizi ina kiinilishe mhimu sana ambacho huzuia kuongezeka kwa seli za kansa ya kongosho kiitwacho kwa kitaalamu kama ‘gingerol”
9. Hutibu kansa zinazoweza kusababishwa na kupata choo kigumu muda mrefu (constipation-r
elated cancer)
10. Ni dawa nzuri kwa kansa ya kwenye damu (leukemia)
11. Ni dawa nzuri dhidi ya kansa ya mapafu (lung cancer)
12. Huzuia kujizalisha kwa bakteria aitwaye ‘Helicobacter pylori’, bakteria huyu ndiye husababisha vidonda vya tumbo mwilini, pia hutibu kiungulia, na kansa mbalimbali za tumbo.
13. Ni msaada sana katika kuzuia na kutibu kansa ya titi.
14. Hutibu kansa za kwenye kizazi na kanza za kwenye mirija ya uzazi.
15. Huongeza msukumo wa damu.
16. Husaidia kuzuia shambulio la moyo.
17. Huzuia damu kuganda.
18. Hushusha kolesto.
19. Husafisha damu.
20. Husaidia watu wenye kukakamaa kwa mishipa.
21. Hutibu shinikizo la juu la damu.
22. Husafisha utumbo mpana.
23. Hupunguza mishituko kwenye utumbo mpana na tumbo kuunguruma.
24. Huondoa GESI TUMBONI KIRAHISI ZAIDI.
25. Husaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
26. Dawa nzuri ya kuondoa uchovu.
27. Husaidia kuzuia kutapika. Husaidia hata wale wanaosafiri baharini wasipatwe na kichefuchefu.
28. Husaidia kuondoa maumivu kutokana na kukaa sehemu mmoja wa muda mrefu au kusimama.
29. Husaidia uzalishwaji wa vimeng’enya mbalimbali tumboni kwa ajili ya kumeng’enya chakula.
30. Husaidia kuzuia kuharisha.
31. Husaidia mfumo wa upumuaji na kutuliza dalili za pumu.《(hii ndio muhimu zaidi)》👈👍
32. Hutibu tatizo la miguu kuwaka moto.
33. Hutibu homa ya kichwa.
34. Hutibu maumivu ya tumbo wakati wa hedhi.
35. Hutibu homa za asubuhi hata kwa mama mjamzito.
36. Husaidia kupunguza homa ya baridi yabisi (inflammation of arthritis).
37. Huimarisha afya ya figo.
38. Husaidia kupunguza uchovu unaotokana na matibabu ya mionzi.
39. Ina madini ya potassium ya kutosha pia ina madini ya manganese ambayo ni mhimu katika kuuongeza mfumo wa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali, hulinda kuta za moyo, hulinda mishipa ya damu na mishipa ambako mkojo hupita.
40. Ina kitu kinaitwa ‘silicon’ ambacho chenyewe kazi yake hasa ni kuongeza afya ya ngozi, nywele, meno na kucha.
41. Pia inauongezea mwili vitamini A, C, E, B-complex na madini ya chuma, zinki , magnesium, phosphorus, sodium, calcium pamoja na beta-carotene(Hasa kwa ajili ya macho).
MATUMIZI…………..
Isage au itwange kiasi cha kupata glass moja.
Weka maji kiasi kidogo tu.
Changanya kupata juisi yake.
Tumia glass moja kwa siku.
Pia unaweza kuwa unatafuna vipande kadhaa, mapema kabisa asubuhi kabla hujala kitu chochote.
HAKUNA OVERDOSE…………………
No comments:
Post a Comment