Thursday, 11 October 2018

JINSI YA KUTENGENEZA MAFUTA YA KUJIPAKA (MGANDO)

MAFUTA YAKUJIPAKA (MGANDO)

MAHITAJI

Micro wax kg 1
Whit oil lita 2
Perafume vijiko 2

VIFAA

Sufuria
Kijiko.
Chupa
Lebo

JINSI YA KUTENGE NEZA

CHukuwa sufuria kavu bandika jikoni weka micro wax kg 1 kisha whit oil lita 2 iache mpaka ichemke kwa muda mfupi..

Weka perfume vijiko 2 mimi nia humo baada ya hapo uta iachaiche mke kidogo isikae sana ikiwa INA chemka maana ita lipuka kwahiyo wakati una pika moto uwe wa wastani  kisha acha ipoe ibaki vugu vugu

Mpaka itakuwa imekamilika MGANDO wako weka KWENYE chupa weka lebo kwa matumizi


No comments:

Post a Comment

COMMENTS/MAONI AU USHAURI

MATANGAZO