Utengenezaji Wa sabuni ya urembo
Malighafi ni
1*Maji ya mchele
2*kaustiki soda
3*mafuta ya mise au Nazi
Hatua ya kuandaa
Andaa ndoo Lita 20 weka maji yalio oshewa mchele kwenye ndoo Lita 4
Kisha weka kaustiki soda nusu kilo kisha koroga kwa muda Wa dakika 5 kisha hifadhi sehemu salama kwa muda Wa siku 2 hadi 3
Baada ya siku 3
Anza kuchemsha mafuta ulionayo kama ya Nazi au mise hakiksha yanapata moto na kua vuguvugu yasichemke
Baada ya hapo kata kidumu cha Lita 5 kwa juu kisha weka maji Yale ya mchele ulio changanya na kausti weka nusu Lita kisha weka mafuta yako Lita moja kisha koroga kwa haraka na muda mfupi utaona mchanganyiko Wako umekua mzito kama uji
Mimina na utie katika umbo na acha ikauke
Itakauka kwa muda wa masaa 6 hadi 8
Baada ya kukauka utapata sabuni ambayo inaondoa vipere usoni na kuacha uwe softi
No comments:
Post a Comment