Jinsi ya kutengeneza shampoo
Malighafi
-sulphonic acid
-ciles
-rangi
-perfume
-chumvi
-CDE
-gycerine
-sodash
Jinsi ya kutengeneza
-andaa vyombo kuwa na mwiko wa kukorogea,ndoo,beseni na maji
-anza na sulphonic acid vijiko vi 3
-fuata na ciles changanya vijiko 41/2
-koroga kwa dakika 3
NB:TUNAKOROGA UPANDE MMOJA ILI SHAMPOO YAKO
ISIKATIKE
-Chukua sodash ichanganye na maji kidogo then ukoroge kwa dakika kadhaa hadi mchanganyiko ukae sawa.
-chukua mchanganyiko wako huo wa sodash mimina kwenye mchanganyiko wa kwanza koroga mpaka ilainike.
-mimina glycerine vijiko 2 then koroga
-mimina rangi kiasi
-mimina perfume
-weka CDE kichupa kizima mimina
-Unaweka maji yako lita kumi then koroga
-unamalizia na chumvi kilo 1 unakoroga mpaka ilainike
NOTE: Tunatumia chumvi ya mawe,na chumvi ni hatua ya mwisho kabisa katika utengenezaji wako.
-
Kumbe huwaga hamna cha aloevera wala parachichi ni uongo tuu
ReplyDeleteCDE ni nini?
ReplyDeleteMaji ya Moto au barid yanayotumika??
ReplyDeleteSodaash una weka kiasi gani hvyo ni vipimo vya lita 10
ReplyDeleteMm nilitengeneza mteja akalalamika eti nywele zinakakamaa haraf mbona inakatika na vitu nimeweka kama ulichoandika?
ReplyDeletesodash hiyoo
DeleteKila mtu na ufundi wake naona,maana hata zile zenye flavor Kama alovera cdhani Kama wanaweka kweli
ReplyDelete