JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI ZA UNGA
: Malighafi ni
Soda ash (kama unga sembe)
Sulphonic acid (kama asali)
Manukato
Utengenezaji
Andaa beseni linaloendana na wingi wa malighafi zako kisha weka soda ash kilo 2
Kisha weka sulphonic acid nusu lita koroga kwa dakika 20 kwa staili ya kupakua chakula
Kisha baada ya dakika 20 weka manukato kiasi upendacho na ukoroge tena kwa dakika 5
Kisha acha kwa Saa 3 sabuni itakua tayar
No comments:
Post a Comment