Tiba kwa wanawake katika kupunguza maumivu wakati wa hedhi
Mahitaji yako ni ÷
1*habat soda ya unga
2*asali
Utengenezaji
Andaa bakuli safi kisha weka asali nusu lita na kisha weka habat soda vijiko kumi vya chakula koroga kisha acha kwa nusu Saa bila kutumia
Baada ya dakk 30 tayar kwa matumizi
Matumizi
Tumia kila upokaribia kupata tatzo lako kwa Mara 2 kwa siku yani asubh na jion na unapokula hakikisha ujala chakula chochote ndani ya nusu Saa
Nb. Unaweza kula kwa kuchota vijiko 1 au viwili na kumeza bila kuchanganya na kitu chochote
No comments:
Post a Comment