Saturday, 13 October 2018

JINSI YA KUTENGENEZA DAWA YA KUONDOA KITAMBI/UZITO/UNENE

Utengenezaji Wa dawa ya kuondoa/kitambi/uzito/ unene

Mahitaji ni

1*tangawizi
2*limao
3*tango

Utengenezaji

Andaa jiko la aina lolote washa moto na uweke sefuria jikon likiwa na maji Lita moja na nusu

Kisha osha Yale mahitaji yako na uanze kusaga au kukata vipande vidogo vidogo na uweke katika sefuria jikon na subiri ichemke kwa muda hadi maji kua na rangi ya kahawia

Baada ya kuchemka kwa muda sasa ipua na uweke pembeni ya jiko

Baada ya hapo  katakata limao bila kumenya maganda wala kutoa mbegu na weka limao katika Yale maji yenye tangawizi

Baada ya hapo katakata tango vipande vidogo vidogo bila kumenya na weka umo kwenye mchanganyiko wako

Baada hapo acha kwa masaa 3 hadi 5 dawa itakua tayari

     Matumizi

Kunywa Lita moja kwa siku kwa muda siku 7 na kila siku tengeneza dawa mpya hadi siku 7 hadi 14

Nb usile vyakula vyenye mafuta mengi

No comments:

Post a Comment

COMMENTS/MAONI AU USHAURI

MATANGAZO