Thursday, 11 October 2018

JINSI YA KUTENGENEZA LOTION ZA LIMAO

LOTION ZA LIMAO

HIZI HUONDOA MABAKA, CHUNUSI, NA KUKUFANYA UPENDEZE

MAHITAJI

Micro wax nusu kg

Parafine wax robo kijiko

White oil nusu lita

Pafyumu kijiko kimoja

Rangi ya wax gram 10

Malimao 10

HATUA YA KWANZA

Tenga sufuria kubwa ya MAJI jikono MAJI yakianza kuchemka chukuwa sufuria nyingine ikalishe juu ya MAJI

Weka micro wax nusu kg iache iyeyuke kisha weka parafine wax robo nayo acha iyeyuke kabisa baada ya hapo weka whit oil kisha anza kukoroga taratibu kwa Dk 15

Kamuwa malimao. Kumi upate juice yake yalimao fresh kisha mimina ndani ya mchanga nyiko wako na ukoroge

Weka rangi gram 10 koroga kwa Dk 3 hapa rangi nzuri Ni kijani

Weka ladha /flavour vijiko 5 vya chakula hapa ladha nzuri Ni lemoni

Weka pafyumu ya lemon

MWISHO

WEKA KWENYE VICHUPA TAYARI KWA MATUMIZI

ZINGATIA HII LOTION INA VIWANGO VYA TBS KUTOKANA NA VIPIMO TULIVYO KUPA




No comments:

Post a Comment

COMMENTS/MAONI AU USHAURI

MATANGAZO